English German

Balozi Marmo akabidhi hati za utambulisho Uswissi

Mhe. Balozi Philips S. Marmo, Balozi  wa Tanzania nchini Uswissi mwenye makazi mjini Berlin, Ujerumani hivi karibuni alikabidhi Hati za Utambulisho (Letters of Credence)kwa Mhe. Didier Burkhalter, Rais wa Shirikisho wa Serikali ya Uswissi na kufanya maongezi na Mhe. Rais akiwa ameandamana na Mkuu wa Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Uswissi.

balozi wa tanzania philip marmo na raisi wa uswissi didier burkhalter 2014a

 

balozi wa tanzania philip marmo na raisi wa uswissi didier burkhalter 2014b

Text Size

Weather

82°
27°
°F°C
Breezy
Humidity: 54%
40 kph
Wed
Partly Cloudy
71 | 82
21 | 27
Thu
Mostly Sunny
70 | 82
21 | 27