English German

Balozi Marmo akabidhi hati za utambulisho Austria

Balozi wa Tanzania nchini Austria ambaye ana makazi mjini Berlin, Ujerumani Mhe. Philip S. Marmo; mapema mwezi huu alikabidhi Hati za Utambulisho (Letter of Credence) kwa Mhe. Dkt. Heinz Fischer, Rais wa Austria. Shughuli hizi zilifanyika katika ukumbi maarufu wa Maria Teresa uliopo katika kasri ya wafalme wa zamani wa "Austro-Hungarian Empire" mjini Vienna. Gwaride rasmi kwa ajili ya Balozi mpya iliendeshwa katika viwanja vya Hofburg.

balozi wa tanzania philip marmo na raisi wa austria dkt heinz fischer 2014b

 balozi wa tanzania philip marmo na raisi wa austria dkt heinz fischer 2014a

 

Text Size

Weather

74°
23°
°F°C
Cloudy
Humidity: 90%
17 kph
Sun
Scattered Thunderstorms
72 | 80
22 | 26
Mon
Mostly Cloudy
74 | 80
23 | 26